logo

SIMBA SC YAZINDUA ENEO MAALUM LA KUHIFADHI KUMBUKUMBU ZA TIMU

Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi, CPA(T) Issa Masoud amezindua eneo maalum ndani ya Makumbusho ya Taifa ambapo kumbukumbu zote za klabu ya Simba SC zimewekwa rasmi.

Baada ya kuzindua eneo hilo ambalo kuna eneo maalum taarifa zote za klabu tangu ilivyoanzishwa mwaka 1936.

.

CPA(T) Masoud ametembezwa maeneo mbalimbali na Kaimu Mkurugenzi wa Wanachama, Mzee Khamis Kisiwa.

#JordanMediaupdates

Frank Jordan
12345 123
Follow Us
logo

© 2023 Jordan Media. All Rights Reserved. Designed by Lylical Popcorn