logo

MAKAMU WA RAIS DKT.MPANGO ATEMBELEA BANDA LA DORIS MOLLEL FOUNDATION

Katika Mkutano wa WomenLift Health 2024 unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.Philip Mpango alipita katika banda la Taasisi ya Doris Mollel Foundation na kusikiliza Maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji Bi.Doris Mollel kuhusu vifaa vya kutunza watoto njiti, hasa mashine ya Phototherapy waliyoweza kuibuni.

#WLHGC2024

#JordanMediaupdates

Frank Jordan
12345 123
Follow Us
logo

© 2023 Jordan Media. All Rights Reserved. Designed by Lylical Popcorn