logo

NAIBU MSAJILI VYAMA VYA SIASA AIPONGEZA VETA KWA KUTOA UJUZI KWA VIJANA

Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Ndg.Mohamed Ahmed, ameipongeza Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kwa kazi kubwa inayoifanya ya kutoa ujuzi kwa vijana na kuwawezesha kujiajiri.

Ndg. Ahmed amesema hayo alipotembelea banda la VETA, leo tarehe 4 Julai, 2024, kwenye Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam (Sabasaba).

Amewahamasisha wananchi kutembelea Banda la VETA katika maonesho hayo ili kujifunza na kuchukua uzoefu.

Frank Jordan
12345 123
Follow Us
logo

© 2023 Jordan Media. All Rights Reserved. Designed by Lylical Popcorn